jump suit za vitengee zenye kushikishaa adabu mafashenista wa town - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Wednesday, 13 September 2017

jump suit za vitengee zenye kushikishaa adabu mafashenista wa town

watu skuizi awa awzarau vitenge maana ukivaa kitenge unaonekana classic tena haswaa ukijaa na stylee yako yaku slay nayo kibabe lazima utapendezaa tu cha msingi mshono uendane na mwili wako upo shoogaa.






blue color
these exaggerated  sleeves bado ziko in fashion
zimeekaaje zinakufaa amaa veep wadada weng wanapenda trends tofautii za fashion so nini her name amekupa vitenge unaeza kushona jump suit na ukanogaa hatari yaani s her alivopendzaa  badilii muonekanoo every day uwe mpyaa

No comments:

Post a Comment