macup cake yanamwagika sasa illi kuleta manjonjo ya harusini ili wageni midenda iwatoke si unajua harusi aitimii bila keki mhhh kama uchumi mbaya ata kekii ya muhogo bibi weka ahahaha si ili mradi tupambne na hali zetu ok here we gooooooooo










zaonesha ni tamu hizi keki ni lazima mana hilooo ndo utamu wa harus make sure unapata mpishi mzuri ili tu askuharbie shuguli na ajue kupangilia decor yakek haswaaa.
Thursday, 28 September 2017
Keki za style tofauti zenye kututoa Umatemate kwa harusini akuna shaka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
olger tz ni blog ya kuhusu habari zote za ulimwenguni hapa utaelimika utaburudika na kunufaika na mambo mbalimbali ! ungana nasi kwa habari za kitaifa,kimataifa ,michezo bila ya kusahau habari za wasanii ,visa na mikasa na kadharika!!
No comments:
Post a Comment