Kim Kardashian atupilia mbali swali kusihana na ujio wa mtoto wake mwingine - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Monday 11 September 2017

Kim Kardashian atupilia mbali swali kusihana na ujio wa mtoto wake mwingine

Image result for Kim Kardashian picture

Kim Kardashian West Weekend hii amekiambia kipindi cha E!News America kuwa amesikia stori nyingi kuhusu ujio wa mtoto wake wa tatu ila hajathibitisha chochote.

Star huyu wa Keeping Up With the Kardashians ambaye ni Mke wa Rapa Kanye West tayari ana watoto wawili North West na Saint West na awali iliripotiwa kuwa anategemea kupata mtoto wa tatu ila mimba alibeba mwanadada mwingine ambaye alilipwa na familia hio.

Kim  anasema ”Nimesikia mambo mengi, stori zingine hata sijawahi kusikia, sijathibitisha chochote, tukiwa tayari tutaongea na kuwafahamisha
 Image result for kim kardashian twitter picture kanye west

No comments:

Post a Comment