Kimbunga Irma kimeelekea visiwa vya Turks na Caicos baada ya kusababisha
uharibifu mkubwa huko Caribbean na kuwaua takriban watu 14
Visiwa vilivyo nyanda za chini
Kumeripotiwa uharibifu na mafuriko nchini Haiti ambapo miundo mbinu bado ni mibaya tangu litokee tetemeo la ardhi mwaka 2010.
Irma ni kimbunga cha kiwango cha tano.
za chini vinaripotiwa kuwa kwenye hatari kubwa
kukiwa na uwezekano wa kupigwa na mawimbi ya hadi urefu wa mita 6
kuliko viwango vya kawaida.
Thursday, 7 September 2017
Kimbunga Irma chafanya uharibifu mkubwa Caribbean picha zaidii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
olger tz ni blog ya kuhusu habari zote za ulimwenguni hapa utaelimika utaburudika na kunufaika na mambo mbalimbali ! ungana nasi kwa habari za kitaifa,kimataifa ,michezo bila ya kusahau habari za wasanii ,visa na mikasa na kadharika!!
No comments:
Post a Comment