kujiamini ndio silaha ya mafanikio asema professor jay - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Monday, 4 September 2017

kujiamini ndio silaha ya mafanikio asema professor jay


 Image result for professor jay

kupitia Instagram yake staa wa miondoko ya Hip Hop na Mbunge wa Mikumi Joseph Haule maarufu kama Professor Jay ameweka ujumbe unawataka watu kujiamini ikiwa ndio silaha ya mafanikio katika maisha na kujiepusha na uoga ambao mara nyingi huwa anguko la mtu.
Professor Jay kaandika>>>”Kujiamini ndio SILAHA Muhimu na Mafanikio Makubwa zaidi katika maisha yako, Na UOGA (HOFU) ndio Angamizo lako kubwa zaidi katika maisha yako – PROF JAY #TeamNoFear Kamanda BENSON KIGAILA”

No comments:

Post a Comment