Man City yaibamiza Liverpool migoli 5-0 - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Saturday, 9 September 2017

Man City yaibamiza Liverpool migoli 5-0

Image result for Gabriel Jesus
                                                                Gabriel Jesus

Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Manchester City dakika za 45 na ushei na 53 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo mchana Uwanja wa Etihad. Leroy Sane alitokea benchi kuchukua nafasi ya Jesus dakika ya 57 naye akafunga mabao mawili dakika za 77 na 90 na ushei, wakati bao la kwanza leo lilifungwa na Sergio Aguero dakika ya 24


                                                      Leroy SaneImage result for Leroy Sane

No comments:

Post a Comment