Chini ya company ya MAC Cosmetics wacolaborate na Nicki Minaj
kuja na lipstick shades 2 mpya, rangi ya lipstick hizo ni caramel-y
coral called Nicki’s Nude na a creamy mid-toned pink known as The
Pinkprint.
Japo Nicky Minaj ametengeneza lip shades mbili ila kuna nyingine 18 za nude kutoka MAC.
zimeachiwa tayali unaeza ukazipataa uki order online mhh bei ake sasa kama nickminaj mwenyw alivyo mtam kwa stage ahahahah
Zitakua zinauzwa dola 18 so ni elf 40 na ushehe
No comments:
Post a Comment