picha: hatimae Janet jackson Ajiachia na mtoto wake - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Monday, 25 September 2017

picha: hatimae Janet jackson Ajiachia na mtoto wake


Hollywood singer ambaye ana miaka 51 alijifungua mtoto wake huyu wa kwanza mwezi January mwaka huu alikua ambeba baby boy wake wakati wanaingia kwenye eating place hiyo.
mmmh mtoto mzuri mashallah pongez kwa janet ila style ya  nguo  syelewag anavojitupiaga mwanamama huyu lakin hapa nimependa make up yke yupo simple no wigz nice
\
  Now Janet yuko separated na baba wa mtoto wake Qatari businessman  Wissam Al Mana ambao wameachanaa this yr her baby his called Eissa Wissam Al Mana.

No comments:

Post a Comment