mrembo tokea kona ya 254 huddah monroe ambwatukia Diamond - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Sunday, 24 September 2017

mrembo tokea kona ya 254 huddah monroe ambwatukia Diamond

Image result for huddah monroe pictures
Diamond Platnumz ni kama centre ya ubuyu Bongo. Mrembo wa Kenya Huddah Monroe ameonekana kuwa upande wa adui yake Zari The Bosslady katika sakata zito la Diamod kuzaa na Hamisa Mobetto.

Baada ya bosi huyo wa WCB kuonekana kuishinda kwa asilimia kubwa vita ya usaliti kwa kuzaa nje, kupitia mtandao wa Snapchat, Huddah ameamua kumshushia maneno mazito msanii huyo. Haya ndio maneno aliyoandika Huddah kwenye mtandao huo.


TOA MAONI YAKO

No comments:

Post a Comment