Tetemeko kubwa la ardhi la nguvu ya 8 katika vipimo vya richa limekumba pwani kusini mwa Mexico.
Kitovu
cha tetemeko hilo lilitokea umbalia wa karibu milomita 100 kuisni
magharibi mwa mji wa Pijijiapan katika kina cha kilomita 35, kwa mujibu
wa idara ya hali ya hewa ya Marekani.Onyo la kutoea tsumani limetolewa nchini Mexico, Guatemala, El Salvador, Costa Rica, Nicaragua, Panama na Honduras.
Vifo vinne viliripotiwa katika jimbo la Chiapa nchini Mexico karibu na kitovu na vingine viwili katika jimbo la Tabasco.
Picha katika mitandao ya kijamii zilionyesha nyumba zilozokuwa zimeporomoka katika mtaa wa Oaxaca na Jichitan ambapo ikulu ya manispaa iliharibiwa kabisa.
No comments:
Post a Comment