Uhuru Kenyatta Ameagiza Hospitali Aliyolazwa Lissu Huko Nairobi Ulinzi uimarishwe - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Saturday, 9 September 2017

Uhuru Kenyatta Ameagiza Hospitali Aliyolazwa Lissu Huko Nairobi Ulinzi uimarishwe

 Image result for Rais Uhuru Kenyatta picture
Rais Uhuru Kenyatta Ameliagiza Jeshi La Polisi Kuongeza Ulinzi Katika Hospitali Ya Agha Khan Nairobi Alipolazwa Tundu Lissu.

Hii ni kwa ajili ya kuchukua tahadhari ya usalama ili wale waovu kama watajaribu kumfuatilia tena huko Kenya basi washughulikiwe ipasavyo.

No comments:

Post a Comment