Zitto Kabwe: list ya watakaotekwa na mimi nimo - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Saturday 9 September 2017

Zitto Kabwe: list ya watakaotekwa na mimi nimo


Moja ya stori ambayo imekuwa gumzo na ku-make headlines kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu ishu ya kushambuliwa kwa risasi kwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu September 7, 2017 akiwa nyumbani kwake Dodoma.

Sasa licha ya tukio hilo kuibua hisia za watu mbalimbali, leo Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amefunguka kuhusiana na list iliyotolewa na Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe, na hofa waliyokuwa nayo Wabunge kwa sasa.Image result for Zitto Kabwe picture

No comments:

Post a Comment