Wema sepetu asherekea Bday yake na Team Wema kwa kukata nyonga - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Thursday 28 September 2017

Wema sepetu asherekea Bday yake na Team Wema kwa kukata nyonga

Image result for wema sepetu
Ikiwa leo Septemba 28, 2017, mwigizaji mahiri Bongo, Wema Isaac Sepetu almaarufu Keki ya Taifa, anasheherekea birthday yake, mashabiki wake wameungana kwa pamoja na kumfanyia surprise akiwa saluni kwa kumpelekea keki na shampeni wakiwa na matarumbeta.
  Kitendo hicho cha kushtukiza kilimfurahisha Wema kiasi cha kujikuta akijichanganya nao na kuanza kukata nyonga za kufa mtu.
Wema amezaliwa Septemba 28, 1987 na leo ametimiza rasmi miaka 29.Image result for wema sepetu

No comments:

Post a Comment