Nigeria yaiongoza Afrika kuingia Kombe la Dunia - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Sunday, 8 October 2017

demo-image

Nigeria yaiongoza Afrika kuingia Kombe la Dunia


nigeria-2016-olympics-kit+%25281%2529Timu ya Taifa ya Nigeria imekuwa ya kwanza kutoka barani Afrika kufuzu Kombe la Dunia mwakani nchini Urusi baada ya kufanya vyema kwenye michezo yake.

Katika ushiriki wao mara 6 kwenye Kombe la Dunia tangu mwaka 1994, 1998 na 2014 waliishia raundi ya pili, huku mwaka 2002 na 2010 waliishia hatua ya makundi.

Taifa jingine lililojikatia tiketi hiyo mapema ni Costa Rica ikiwa ni mara yao ya tano kushiriki Kombe la Dunianigeria

No comments:

Post a Comment

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *