Yanga Yaijibu Simba...Huku Ajib Akimjibu Okwi - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Sunday, 22 October 2017

demo-image

Yanga Yaijibu Simba...Huku Ajib Akimjibu Okwi

hqdefault

Ibrahim Ajib ameendelea kuwasha moto akiwa na Yanga baada ya Jana Jumapili October 22, 2017 kuifungia mabao mawili kwenye ushindi wa  4-0 dhidi ya Stand United na kuifanya Yanga ifikishe pointi 15 sawa na Simba na Mtibwa Sugar.
pichaayanga

Simba na Mtibwa zilifikisha pointi 15 baada ya kushinda michezo yao ya jana lakini ushindi wa  Yanga leo unafanya timu tatu kufungana pointi lakini tofauti ya magoli ndio unazitofautisha katika msimamo wa ligi.


Ajib ndio anaongoza kwa ufungaji kwenye kikosi cha Yanga akiwa na magoli matano (5) aliyoyafunga kwenye mechi saba alizocheza.


 .com/attachments/434958/
huku okwii akiwa ameifungia simba magoli 8 kwenye ligi ya vodacom Okwi na Ajibu wakiwa vinara wa ligi.

No comments:

Post a Comment

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *