


Hii imetokea kwa Paris Fashion Week
ambapo designer Balenciaga amekuja na hizi yebo tena kaziongezea na
urefu mzione kama wedge hivi na wale wanaopenda height wapate za kuvaa
but mmhh the feeling bado haijawa positive kwa fashionable people
ukizingatia zinauzwa thousands of dollars.
Kwenye collection yake ya Spring /Summer
18 Balenciaga alizitupa hizi kwa runway na models walivaa za kla aina na
kila rangi,ila wamezitia nakshi nakshi kama za vifungo ili zisionekane
basic ,to make them more high end fashion shoes.
model akipta kwa mikogo kma twigaah ware pink

No comments:
Post a Comment