Cheni : Habari za Lulu Kugomea Rufaa sio za Kweli - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Sunday, 19 November 2017

Cheni : Habari za Lulu Kugomea Rufaa sio za Kweli

Dr.Cheni amesema habari za Lulu kugomea rufaa sio za kweli yeye hajazugumza na media yoyote Kama baadhi ya watu walivyosambaza mitandaoni. Amesema bado hajaongea na Lulu tangu aende Jela Segerea

No comments:

Post a Comment