Ramos 'Ang'olewa' Pua Dimbani - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Sunday, 19 November 2017

demo-image

Ramos 'Ang'olewa' Pua Dimbani

467C119A00000578-0-image-a-76_1511041211545Beki tegemeo wa Real Madrid, Sergio Ramos akitoka nje kumpisha Nacho baada ya kushindwa kuendelea na mchezo dakika ya 46 kutokana na kuvunjika pua kufuatia kugongana na mchezaji wa Atletico Madrid, Lucas Hernandez katika mchezo wa La Liga wa mahasimu wa Jiji la Madrid usiku wa jana Uwanja wa Wanda Metropolitano uliomalizika kwa sare ya 0-0.

No comments:

Post a Comment

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *