Kwamujibu wa RC Makonda amedai Ofisi yake kutokuwa na taarifa hizo na kwamba agizo haliwezi kuwa na uhalali, ambapo ameongeza kuwa hata kama zoezi hilo lipo ni lazima yeye na wataalamu wake wajiridhishe hivyo basi zoezi hilo kwasasa amelisitisha.
Ametoa kauli hiyo leo mbele ta wakazi wa kata ya Kigogo, Wilaya ya Kinondoni Jijini humo
No comments:
Post a Comment