marekani yakumbwa na mafuriko mabaya haijawai kutokea - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Saturday 26 August 2017

marekani yakumbwa na mafuriko mabaya haijawai kutokea

Mji wa Rockport haujasambaratishwa kabisa na kimbunga hicho, lakini uko katika hali mbayaMamia kwa maelfu ya watu wamekatikiwa na minara ya nguvu ya umeme.
Kufikia sasa kifo cha mtu mmoja tu kimethibitishwa kutokea katika mji wa Rockport, huku wakuu wakionya kuwepo kwa mafuriko zaidi ya maji,Zaidi ya wafungwa 4,500 katika gereza moja kusini mwa Houston wamehamishiwa hadi gereza lingine mashariki mwa Texas kwa sababu ya kuongezeka
kwa maji ya mto Brazos ulioko karibu na eneo hilo.Rockport ni mojawepo ya maeneo yaliyoathirika vibaya na kimbunga hicho
 Juhudi za uokoaji zinaendelea huku zikikatatizwa na upepo mkali.

No comments:

Post a Comment