Masogange akutwa na kesi ya kujibu leo mahakamani - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Thursday, 31 August 2017

Masogange akutwa na kesi ya kujibu leo mahakamani




Moja ya stori kubwa leo August 31, 2017 kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ni kuhusu kesi ya video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ ambaye Mahakama imemkuta na kesi ya kujibu katika kesi ya kutumia dawa za kulevya, hivyo anapaswa kujitetea.
millardayo.com imezipata picha nne za Masogange wakati akitoka Mahakamani…zitazame hapa!!




No comments:

Post a Comment