Picha Simon Msuva
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemkuta na makosa ya utovu wa nidhamu aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga anayekipiga nchini Morocco, Simon Msuva ambaye imempa onyo kali la barua.
Mbali na Msuva, wengine waliokuwa wakijadiliwa na kamati hiyo kwa utovu wa nidha kwenye michezo ya mwisho ya Ligi Kuu Tanzania Bara ni Obrey Chirwa (Yanga) na Deus Kaseke (Yanga) ambao wamesamehewa.Deus Kaseke na picha inayofuata ni Obey chirwa
No comments:
Post a Comment