Msanii wa Muziki Bongo, Harmonize ameshindwa kuweka wazi gharama alizotumia hadi sasa katika nyumba yake anayojenga.
Muimbaji huyo kutoka label ya WCB, amesema ndio kwanza anaanza na Mungu
akijalia mwakani mwishoni inaweza ikawa imeisha na nyumba hiyo ni
ghorofa.
“Kwa hiyo flow ya kwanza tayari bado ya pili, kidogo kidogo
tunajikongoja tukipata 200 tunaweka. Sio kitu kizuri kusema (gharama)
nadhani lakini imetumia hela nyingi,” ameimbia XXL ya Clouds Fm na
kuongeza.
“Siwezi nikakadiria lakini imekula hela nyingi, show zenyewe hizi kwa
mwaka sita/saba na usawa wenyewe ulivyo mgumu lakini nashukuru sio show
pekee zinazonipatia hela kuna mishe nyingine, kwa hiyo siwezi kujua ni
kiasi gani imekula lakini imekula hela nyingi,” amesema Harmonize.
Harmonize kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Sina’ ambayo
katika video yake amemshirikisha msanii mwenye heshima yake katika Bongo
Flava, Mr Nice
Tuesday, 8 August 2017
Home
Unlabelled
Mwanumuziki Harmonize Apata Kigugumizi Gharama za Mjengo wake
Mwanumuziki Harmonize Apata Kigugumizi Gharama za Mjengo wake
Share This
About Unknown
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
olger tz ni blog ya kuhusu habari zote za ulimwenguni hapa utaelimika utaburudika na kunufaika na mambo mbalimbali ! ungana nasi kwa habari za kitaifa,kimataifa ,michezo bila ya kusahau habari za wasanii ,visa na mikasa na kadharika!!
No comments:
Post a Comment