ni kikongwee ambae aliacha dunia midomo wazi baada kujibadili jinsia eti sasa anajikuta anapambana na fashion!!! - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Friday 25 August 2017

ni kikongwee ambae aliacha dunia midomo wazi baada kujibadili jinsia eti sasa anajikuta anapambana na fashion!!!

mhhhh sina usemi kwa babavhyu mwenye watoto 5 lakin nakuamua kuji trans gender ebu mtazame kwa hili pozi anajjita caitlyn jenner


wakati watu tukipambana na shida zetu yeye anapambna na ukomavu wake ktk uremboo lol

set katingaa mpk high heels on jaman ila mguu wenyw aulipi



check ako kamguu huyu baba jaman mweeh kameekomaaa lakini na yeye akaona ajitinge vivaz cha kike kwani kris aliyekua mkewe anafaidi mmmh ebu tumpe pole kizee hiki mana mpaka jina alibadili

No comments:

Post a Comment