picha za faiza Ally akizurura na kichanga chake mchana kweupeee?! - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Thursday 10 August 2017

picha za faiza Ally akizurura na kichanga chake mchana kweupeee?!

Naona sasa hivi utandawazi umekuwa kwa kasi sana kichanga hakija fikisha hata siku 7(wiki moja) kinaanza kutembezwa kwenye mitaa,hili nimeliona kwa mrembo Faiza Ally.
mtoto akiw bado ajamaliza arubaini ila mama asiye isha vihoja kaamua kujiachia n mwanae mhhh mana ata wakina kim kardashian upumzkaga kipndi hiki

No comments:

Post a Comment