Rais wa Zambia Edga Lungu amesema kuwa kwa sasa ni lazima kila mtu apimwe hali yake ya ugonjwa wa ukimwi nchini humo.
Zambia ni kati ya nchi zenye viwango vya juu zaidi vya ukimwi kusini mwa
bara la Afrika kwa asilimia 11.6, huku watu walio na umri wa kati ya
miaka 15 na 49, wakiwa na wanaishi na virusi vya ukimwi.
Bwana Lungu alisema kuwa kupimwa na kupewa ushauri na matibabu sio kitu
cha kujitolea, katika jitihada za kukabiliana na ugonjwa wa ukimwi
nchimi humo.
Alitoa tangazo hilo wakati wa uzinduzi na baraza la ukimwi kwenye mji mkuu Lusaka.
Bwana Lungu alisema kuwa suala hilo limezungumziwa na baraza la mawaziri.
Wednesday 16 August 2017
Raisi Agiza watu nchi nzima kupima Ukimwi?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
olger tz ni blog ya kuhusu habari zote za ulimwenguni hapa utaelimika utaburudika na kunufaika na mambo mbalimbali ! ungana nasi kwa habari za kitaifa,kimataifa ,michezo bila ya kusahau habari za wasanii ,visa na mikasa na kadharika!!
No comments:
Post a Comment