shamsa ford atamani kufuata nyayo za mzee yusuph - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Saturday 26 August 2017

shamsa ford atamani kufuata nyayo za mzee yusuph

Shamsa Atamani Kumfuata Mzee Yusuf

                              Staa wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford.

STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amefunguka kuwa, anatamani kumfuata aliyekuwa staa wa Taarab, Mzee Yusuf kwa kuokoka kwani anahisi siku za kufa zimekaribia.

 Shamsa alisema kuwa, kila kukicha anajikuta anatamani kuokoka na kuacha kila kitu anachokifanya, abaki kusali tu kwani ana hofu sana ya Mungu, lakini hajui ataanzaje, ingawa anajitahidi. “Nimejaribu kusali sala tano kila siku.
Kuna wakati ninasahau lakini kuna siku ninasali zote, ninaamini taratibu nitakuwa kama Mzee Yusuf, ninamuomba sana Mungu,” alisema Shamsa.

No comments:

Post a Comment