simba yachafua hali ya hewa baada kuitundika Ruvu Shooting magoli 7 kwa buyu - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Saturday 26 August 2017

simba yachafua hali ya hewa baada kuitundika Ruvu Shooting magoli 7 kwa buyu

                                     mmoja wawafungaji katika mechi leo emanuel okwi            


Mchezo wa #VPL kati ya Simba na Ruvu Shooting umemalizika: Simba 7 vs 0 Ruvu Shooting
Magoli ya Simba Yamefungwa na:
Okwi (4)
Kichuya (1)
Erasto Nyoni (1)
Juma Liuzio (1)

No comments:

Post a Comment