Kwa wale wenzangu na mie mlio kuwa mkisikiliza na kufuatilia kipindi cha Njia Panda kinacho rushwa na Clouds FM kwa
takriban Jumapili 3 mfululizo kuhusu story ya bwana Samwel Tenga na
issue yake ya FREEMASON basi pichani ndo ule muhuri wa moto ambao Samwel
anadai ni alama kubwa aliyopigwa katika mgu wake wa kushoto
kumtambulisha kwamba ni mwanachama wa FREEMASON, ni alama kama muhuri,
iliyoambatana na KIAPO ambapo popote atakapokwenda atatambulika, amesema
kwa sasa ndio inamsumbua sana kwa sababu chuma kilichotumika kumuwekea
kimevunja mfupa, na hii aliifanya huko Afrika Kusini.
Source : Millard ayo
No comments:
Post a Comment