watanzania wa5 ndani ya tuzo za Afrima - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Monday, 14 August 2017

watanzania wa5 ndani ya tuzo za Afrima

Tuzo za Afrima zimetangaza majina ya kwanza ya wasanii watakaowania mwaka huu. Imeanza kwa kuyaweka wazi majina ya kanda mbalimbali. Wasanii waliotajwa kutoka Tanzania ni pamoja na Diamond, Vanessa Mdee, Alikiba, Nandy na Lady Jaydee watajwa kuwania tuzo za Afrima 2017.

No comments:

Post a Comment