Yanga yashindwa kutamba zidi ya Lipuli FC baada kutoka sare ya1-1 - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Sunday 27 August 2017

Yanga yashindwa kutamba zidi ya Lipuli FC baada kutoka sare ya1-1

Image result for kamusoko yanga pichaTimu ya yanga imelazimishwa kutoka sare baina lipuli FC kutoka iringa mchezo ulikua mgumu kwani yanga walibanwa na lipuli katika mchezo wa kwanza dakika45 zikaisha na kwenda break huku wakiwa sare na kipindi cha 2 yanga washindwa kufanya maajabu katika nyavu za lipuli mpaka dakik 90 filimbiii pyeee ilo pigwa na refa alosimamia mchezo uwo kuhalalisha mchezoo uwo kwishaa na kua sare kwa matokeo ya yanga 1 vs lipuli 1.
na kuwafanya mashabiki yanga wabaki na maumivu katika ligii kuu ya vodacom

No comments:

Post a Comment