Benpol baada ya kudaiwa kulala na ebitoke Anadaiwa kumkimbia? - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Monday, 11 September 2017

Benpol baada ya kudaiwa kulala na ebitoke Anadaiwa kumkimbia?


Baada ya story kusambaa kuwa Ben Pol na Ebitoke wameachana na hiyo ni mara baada ya Ben Pol kudaiwa kulala na mchekeshaji huyo na kisha kumkimbia, sasa Ayo TV tukamtafuta Ben Pol kusikia kwa upande wake kuhusu madai hayo.
Ben Pol amezungumza na Ayo Tv wakati alipokuwa Arusha ambapo Tamasha kubwa la fiesta lilifanyika jijini humo na kusema kuwa yeye na Ebitoke wako sawa kabisa na hawana tofauti yoyote japo watu wamekuwa wakiwazushia habar

No comments:

Post a Comment