Baada ya uvumi kusambaa ya kuwa Muimbaji Vanessa anatoka kimapenzi na msanii mwingine wa WCB licha ya kwamba hajajulikana kuwa atakuwa nani, Ayo Tv ikampata mpenzi wa zamani wa Vanessa, Juma Jux ambaye yeye alizungumza kwa upande wake na kusema kuwa sahivi Vanessa ata akisimama na nani anasingiziwa kuwa ni mpenzi wake.
Juma Jux amezungumza hayo wakati alipokuwa Arusha kwenye show ya Fiesta ambapo alisema asingependa kuzungumza kuhusu hayo mambo ila ukweli ni kwamba Vanessa hata akitembea na mtu barabarani atadaiwa kuwa anatoka naye kimapenzi
No comments:
Post a Comment