BREAKING NEWS: Waziri wa TAMISEMI George Simbachawene Aliyetajwa Kwenye Ripoti Amejiuzulu - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Thursday, 7 September 2017

BREAKING NEWS: Waziri wa TAMISEMI George Simbachawene Aliyetajwa Kwenye Ripoti Amejiuzulu


Taarifa :Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, George Simbachawene amejiuzulu.

 Waziri wa TAMISEMI George Simbachawene ametangaza kujiuzulu nafasi yake kutokana na kutajwa kwenye ripoti za uchunguzi wa tanzanite na almas

No comments:

Post a Comment