Ebitoke umwandikia Ujumbe wa Mapenzi tele Benpol - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Friday 8 September 2017

Ebitoke umwandikia Ujumbe wa Mapenzi tele Benpol


Ni vizuri kumuandikia ujumbe mtu wako wa karibu anapokuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa ili kumuonyesha jinsi unavyomjali.

Ebitoke ametumia vizuri nafasi hiyo kwa kumwandikia ujumbe muhimu kupitia mtandao wa Instagram, Ben Pol ambaye pia anadaiwa kuwa na mahusiano naye japo yamekuwa na mashaka kwa watu wengine.

“Help me wish my handsome! #HappyBirthday #HappyNewAge 😘😘😘 @iambenpol #Kidume #Bentoke,” ameandika Ebitoke kwenye mtandao huo

No comments:

Post a Comment