Rais Dkt. John Magufuli Leo Septemba 7 anatarajia kupokea taarifa ya uchunguzi ya madini ya Tanzanite na Almasi kutoka kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
Ripoti hiyo imewasilishwa na Kamati ya Bunge iliyoundwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai kuchunguza biashara ya madini ya Almasi na Tanzanite ambayo imesomwa leo na mwenyekiti wa kamati hiyo, Mussa Zungu na kukabidhiwa kwa Spika wa Bunge Job Ndugai ambaye naye ameikabidhi kwa Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment