KWA mujibu wa kampuni ya kuangalia mauzo ya NPD Group Adidas, msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka Marekani, Kanye West, ameiikalisha Jordan kwa kuwa brand namba moja inayoongoza kwa kuuza viatu zaidi Marekani kuliko Jordan.
Mchambuzi wa michezo, Matty Powell alisema “I’ve never seen a brand in the sneaker industry grow this fast,” (Sijawahi kuona brand ya viatu inakua kwa kasi kiasi hiki)
From January through August of this year, Adidas had 11.3 percent of the U.S. market share by dollars. That was up from the 6.6 percent the brand had over the same period last year.
(Kutoka Januari hadi Agosti tayari Adidas imefikia mpaka asilimia 11.3 ndani ya Marekani kutoka asilimia 6.6 mwaka uliopita,
wakati brand ya Jordan imeongezeka asilimia moja tu, kutoka asilimia 9.4 mpaka kufikia asilimia 9.5 ndani ya kipindi cha mwaka mzima)
Jordan ikiwa chini ya brand ya Nike ndiyo ilikuwa inaongoza kwa mauzo Marekani lakini imeshuka kutoka asilimia 39 mwaka jana mpaka asilimia 37 mwaka huu!
Mafanikio haya yanakuja baada ya Adidas kutoa brand kama za Superstar na Stan Smith, na Ultraboost ambazo zinatoka chini ya Kanye za Yeezy kwenye dili ambalo Adidas waliingia na Kanye West na kuonekana kuwa Yeezy imekua kwa kasi ikiwa na maana kuwa Kanye kamzidi Jordan baada ya Adidas kupanda kuwa namba moja kwenye mauzo nchini Marekani na kuishusha Jordan chini na Nike kuwa namba 2 licha ya kuwa Nike bado ni wakali wa mpira wa kikapu kama LeBron James, Kevin Durant na Kyrie Irving ambao ni watu ambao wenye nguvu na ushawishi na wameingia dili na Nike katika brand ya viatu vyao.
Kumbuka Jordan ndiyo brand ambayo ilikuwa ikifanya vizuri katika soko la viatu Marekani kwa muda mrefu na kuona wachezaji wa basketball wakivaa, wasanii kwenye videos na kupiga misele lakini Yeezy imeonekana kuwa tishio na kufanya mapinduzi ya soko.
No comments:
Post a Comment