mwanamuziki BOB tokea marekani Achangisha michango ili kutuma Satellite ili kuthibitisha dunia Duara - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Wednesday 27 September 2017

mwanamuziki BOB tokea marekani Achangisha michango ili kutuma Satellite ili kuthibitisha dunia Duara

Image result for b.o.b pictures 
Mwanamuziki wa Marekani wa mtindo wa rap B.o.B. anatafuta msaada wa kutuma satelaiti kuthibitisha iwapo kweli dunia ni duara.
Rapa huyo ambaye jina lake halisi ni Bobby Ray Simmons Jr, ni mmojawapo ya watu wanaoamini kwamba dunia ni kama sahani na sio duara.
Baadhi ya wanaomini kuwa dunia ina umbo la sahani wanaodaia wafanyakazi wa NASA shirika la wana anga za juu wanalinda ukingo wa dunia kuzuia watu wasianguke.satelaiti
Anajaribu kuchangisha $200,000 katika mtandao wa kuchangisha fedha wa GoFundMe na mpaka sasa amefanikiwa kukusanya kima cha $650, lakin kampeni hiyo imekuwa ikizungumziwa kwamapana katika mtadao huo

"Nimeanzisha kampeni hii kwasababu ningependa kutuma kama sio satelaiti moja basi nyingi katika anga za juu kujaribu kutafuta upinde unaoifanya dunia kuwa duara," alisema katika video iliowekwa kwenye mtandao huo.
"Nautafuta upinde," ameongeza B.o.B.

No comments:

Post a Comment