Syria inasema kuwa ndege za jeshi la
Israeli zimeshambulia kituo cha kijeshi magharibi mwa nchi huku ripoti
zikiseka kuwa kiwanda cha silaha za kemikali zilishambuliwa.
Taarifa
za jeshi zilisema kuwa makombora yaliyofyatuliwa kutoka anga ya Lebanon
yalilenga kiwanda hicho kilicho karibu na Masyaf na kuwaua wanajeshi
wawili.Ripoti ambazo hazijathibitishwa zinasema kuwa kiwanda ya kutengeneza silaha za kemikali kilishambuliwa
No comments:
Post a Comment