KUN AGUERO Apata Ajali mbaya nakuvunjika Mbavu 2 - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Friday, 29 September 2017

demo-image

KUN AGUERO Apata Ajali mbaya nakuvunjika Mbavu 2

KAVAAAAAAAAAMSAMBULIAJI wa Klabu ya Soka ya Manchester City na timu ya taifa ya Argentina, Sergio Kun Aguero, amepata ajali ya gari usiku wa jana akiwa njiani kuelekea uwanja wa ndege nchini Uholanzi ambako alikuwa amehudhuria tamasha la muziki. 

aguero-1Kwa mujibu wa ripoti, Aguero, 29, amevunjika mbavu na atakuwa nje ya uwanja kwa takribani miezi miwili na atakosa mchezo dhidi ya mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini England klabu ya soka ya Chelsea utakaopigwa Jumamosi hii.
AGUERO-2
Picha zilizosambaa katika baadhi ya mitandao kutoka nchini Uholanzi zimeonyesha gari ndogo ambayo Aguero alikuwepo na dereva wake ikiwa imegonga nguzo katikati ya jiji la Amstedam huku ikiripotiwa kuwa hakuna aliyepoteza maisha zaidi ya kuumia.
AGUERO-3Awali aliweka picha kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram ikimuonyesha yeye na msanii kutoka Uholanzi anayefahamika kwa jina la Maluma ambaye ndiye aliyemualika staa huyo wa Argentina katika tamasha hilo
AGUERO-4
Mpaka sasa Aguero ana mabao sita katika ligi kuu ya England.

No comments:

Post a Comment

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *