Kimbunga kikali kwa jina Irma kimesababisha uharibifu mkubwa katika eneo la Caribbean ambapo takriban watu saba wameuawa.
Kisiwa
kidogo cha Barbuda kilisemekana kukumbwa na uharibifu mkubwa hadi
kutajwa kuwa kisichoweza kukalika huku maafisa wakionya kuwa maeneo ya
kisiwa cha St Martin yanayomilikiwa na Uingereza yameharibiwa kabisa.Jitihada za uokoaji zinatatizwa kutokana na kuwepo ugumu wa kuyafikia maeneo mengine.
No comments:
Post a Comment