Petiteman wakuache azifungukia picha zinazoo sambaa yeye na Hamisa - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Tuesday 26 September 2017

Petiteman wakuache azifungukia picha zinazoo sambaa yeye na Hamisa

Picha zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii ni za zamani sana. Hazina uhusiano wowote na maisha yangu ya sasa au na yale yanayoendelea kuhusu Hamisa ambaye anaonekana pia katika picha hizo kwa sasa aliandika kwenye instagram page yake
Yeyote ambaye ameamua kuzisambaza ana nia moja tu. Kuniunganisha katika suala ambalo sihusiki na kunichafua. Mimi kwa muda mrefu niko na mke wangu mpendwa ambaye kila mtu anamjua na tuko busy kujenga familia yetu. Inawezekana jambo hili haliwafurahishi baadhi ya watu hivyo kuamua kusambaza picha za zamani kwa nia zao ovu.
Niseme tu kwa kifupi hizo picha sio za kutilia maanani. Ni picha za zamani sana. Kwa sasa sio muda wa kuchafuana. Huu ni muda wa kila mmoja wetu kupambana kujijenga na kulea familia yake. Mimi kama baba wa familia jukumu langu ndio hiloRelated image 
esma na petiteMan ambae ni mumewe

Petiteman Mume wa Esma Platnumz ambaye ni dada yake Diamond Platnumz ametolea maelezo kuhusu picha zinazosambaa akiwa na Hamisa Mobetto .
Anasema picha hizo zinasambwazwa na watu wenye nia ya kumchafua yeye pamoja na familia yake ,akisisitiza huu ni wakati wa kila mmoja kupambana na kujenga familia yake

No comments:

Post a Comment