Shetta apata mtoto mwingine - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Friday 22 September 2017

Shetta apata mtoto mwingine


“Karibu duniani mwanangu….!! Asante Mungu kwa huyu mwingine, sasa Kayla uache kuringa”, ameandika Shetta.
Kufuatia kuzaliwa kwa mtoto huyo Shetta atakuwa na watoto wawili, ambapo wa kwanza anaitwa Kayla.

No comments:

Post a Comment