Shilole Amsemea Mbovu Uchebe fake - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Wednesday, 6 September 2017

Shilole Amsemea Mbovu Uchebe fake

Image result for shilole picha

Leo September 6, 2017 kupitia Instagram yake mwimbaji wa Bongofleva Shilole amefunguka baada ya kuwepo post kwenye account inayotumia jina la mpenzi wake Uchebe lakini akadai kuwa mpenzi wake huyo hana account yoyote Instagram.
Shilole ameandika>>>“Plzzz plzzzzz mchumba wangu hana acount yeyote instagram naombeni mnaotumia jina la mchumba wangu sipendi maana mnaandika vitu ambavyo havipo kaka wa watu hata mambo ya mitandao na wala hajui mambo ya insta plzzzz ww unaetumia jina la uchebe vibaya Mungu anakuona@official_uchebe acha uongo tafuta folowas kwa njia nyingine ok” – Shilole

No comments:

Post a Comment