Chid Benzi Alikua Anatania Collabo yake na 2Pac - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Thursday, 31 August 2017

Chid Benzi Alikua Anatania Collabo yake na 2Pac

Image result for chid benz
Rapa Chid Benz ambaye sasa anafanya poa na wimbo wake 'Muda' akiwa ameshirikiana na mkongwe Q Chillah amefunguka na kuwataka mashabiki wake kutosikiliza maneno ya watu na kudai wapinzani wake wamekuwa wakimuongelea vibaya kwa lengo la kumchafua


Chid Benz anasema muda mwingine kwenye maisha yake ya kila siku amekuwa ni mtu wa utani sana kiasi kwamba utani mwingine huwa hapendi hata ufike kwenye 'Camera' za watu kwa kudai unaweza kutafsiriwa ndivyo sivyo.

Rapa huyo ameibuka na kusema hayo ikiwa ni siku moja imepita toka alipotoa kauli kwamba anataka kumleta marehemu 2Pac nchini na kusema msanii huyo wa Marekani ni mzima na wala hajafa na kudai tayari wameshafanya naye wimboImage result for chid benz

No comments:

Post a Comment