yeees wadauz ebu tuambizane kati zari na hamisa mobeto nani kipind cha mimba alikua akinooga yaani balaaah kitumbo akikumkaataa?
zarinah mamaa la diamond
now hamisa picha akiwa mjamzito but now kashashusha engine ahahaha na yeye anajiitaa mama abdul naseeb as we know abdul jina la baba ake diamond na naseeb ni jina lake mfalme wa bongo fleva diamond.
Monday, 21 August 2017
zarinah vs hamisa nani alivutia zaidi kipindi cha ujauzito ??!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
olger tz ni blog ya kuhusu habari zote za ulimwenguni hapa utaelimika utaburudika na kunufaika na mambo mbalimbali ! ungana nasi kwa habari za kitaifa,kimataifa ,michezo bila ya kusahau habari za wasanii ,visa na mikasa na kadharika!!
No comments:
Post a Comment