Azam vs Simba Litasakatwa jioni na si usiku tena hii leo - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Friday, 8 September 2017

Azam vs Simba Litasakatwa jioni na si usiku tena hii leo

Mechi ya Azam vs Simba imerudishwa nyuma kutoka saa 1:00 usiku na sasa itachezwa saa 10:00 jioni, inaelezwa mabadiliko hayo ni kutokana na sababu za kiusalama.
Afisa habari wa TFF Alfred Lucas amesema uamuzi huo umefikiwa na timu zote mbili (Azam na Simba) pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama baada ya majaliano maalum.
“Baada ya mjadala wa muda mrefu kati ya TFF, Simba, Azam pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama wameamua kurudisha nyuma mchezo wa Simba vs Azam kutoka saa 1:00 usiku hadi saa 10:00 jioni,” Alfred Lucas-afisa habari TFF

No comments:

Post a Comment