Jeshi la polisi mkoani Arusha limemshilikia kijana mmoja afahamikae kwa jina la Abuu aliyesambaza ujumbe kwenye account yake ya Facebook maneno makali kuhusu Mh Tundu lissu akisema ni bora majambazi wangemuuwa ameshikwa ili akawasaidia polisi. Mpaka sasa yuko kituo cha polisi Kijenge Arusha kwa kuhojiwa zaidi
NB:vijana wenzangu inabid tuwe na utu zen tuwe makini kwa kila kitu tunachofanya,tunavyoandika ktk social network zetu ,Tanzania yetu kwanza tupendaneee.
No comments:
Post a Comment