"mh lissu anaendelea vyema" asema lema - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Friday 15 September 2017

"mh lissu anaendelea vyema" asema lema


 

Wakati Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu aliyepigwa risasi na watu wasiojulikana huko mjini Dodoma September 7 mwaka huu akiendelea na matibabu katika hospitali ya Aghakhan nchini Kenya taarifa juu ya hali yake zinasema kuwa Lissu anaendelea vizuri.
Mbunge wa Arusha Mjini Godless Lema aliyeko Kenya kumjulia hali Mbunge Tundu Lissu jana usiku ameandika kwenye account yake ya Twitter kuhusu hali ya lisu kuendelea kuimarika na kwamba leo ameweza kula vizuri na kuongea na watu wengi zaidi.

No comments:

Post a Comment