Mh Sugu Afanya kweli Afungua Bonge la Hotel Mbeya - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Friday, 8 September 2017

Mh Sugu Afanya kweli Afungua Bonge la Hotel Mbeya


Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi maarufu kama ‘Sugu’ alianza kuijenga hoteli yake toka mwaka 2016 jijini Mbeya na aliweka wazi kabisa kwamba alipata mkopo wa kuijenga kutoka CRDB BANK.

Itafahamika kwa jina Hotel Desderia

Tayari hoteli imefunguliwa na kuna nafasi za kulaza wageni kwenye room zilizojengwa kisasa lakini pia hata kwa chakula ni bora ambapo mchakato wa kumpata Mpishi ulipatikana kwa njia ya usaili, ukitazama kwenye hizi picha hapo utaona chakula alichokitoa Mpishi alieshinda kwenye huo usaili .

Hongera umehustle sana na maisha
Politics ni ajira nzuri naona umuhimu wa wizara ya elimu kuongeza somo la siasa kwenye mtaala ili watu waijue miiko yake kwa sababu watu wengine ni wabwabwajaji kama baadhi ya viongozi wa siasa kutoka ccm na upinzani, siasa inakumfanya mtu kuwa brand kubwa na uwezekano wa kuitumia kibiashara upo.

Sugu ana akili nying hutosikia akiburuzwa mahakamani na serikali kila leo hana muda huo he is always thinking of business yeah we call him money hustler

No comments:

Post a Comment